Psalms 48:12-13


12 aTembeeni katika Sayuni,
uzungukeni mji,
hesabuni minara yake;
13 byatafakarini vyema maboma yake,
angalieni ngome zake,
ili mpate kusimulia habari zake
kwa kizazi kijacho.
Copyright information for SwhNEN